Ninasababu|Mwanaume kama Yesu(Cover)|Praise Medley|Essence of Worship Lyrics
Song Title
Nina sababu ya kukusifu wewe Yahweh Nina sababu ya kukusifu wewe Yahweh Nina sababu ya kukusifu wewe Yahweh Nina sababu ya kukusifu wewe Yahweh Nina sababu ya kukusifu wewe Yahweh Nina sababu ya kukusifu wewe Yahweh Ukuu Wako Matendo Yako Ni sababu ya kusifu wewe Bwana Matendo Yako Uaminifu Wako Ni sababu ya kusifu wewe Bwana Yale umefanya, yananishangaza Yale umetenda, ni makuu sana Nina sababu ya kukusifu wewe Yahweh Nina sababu ya kukusifu wewe Yahweh Nina sababu ya kukusifu wewe Yahweh Nina sababu ya kukusifu wewe Yahweh Humu duniani mimi nimepita Sijaona mwanaume kama Yesu Humu duniani mimi nimepita Sijaona mwanaume kama Yesu Alizaliwa kwa Taabu yeyeee walitaka kumuangamizaaa Hawakujua kuwa Yeye ni Mungu walidhani ni mtu wa kawaidaaa vita vyake Mungu nani atashindaaaa..?? hakunaaa hakunaaa Hakunaaa kweli hakunaaa aliye kama Yesu kweli hakuna Hakunaaa kweli hakunaaa aliye mwanaume kama Yesu Hakunaaa kweli hakunaaa aliye kama Yesu kweli hakuna Hakunaaa kweli hakunaaa aliye mwanaume kama Yesu Hakunaaa kweli hakunaaa aliye kama Yesu kweli hakuna Hakunaaa kweli hakunaaa aliye mwanaume kama Yesu Hakunaaa kweli hakunaaa aliye kama Yesu kweli hakuna Hakunaaa kweli hakunaaa aliye mwanaume kama Yesu Hale wa Baraka, Wa Upendo ni Yesu we (Eeh) Hale wa Baraka, Wa Upendo ni Yesu we (Eeh) Hale wa Baraka, Wa Upendo ni Yesu we (Eeh) Hale wa Baraka, Wa Upendo ni Yesu we (Eeh) Hakuna kama Yesu we (Eeh) Hakuna kama Yesu we (Eeh) Hakuna kama Yesu we (Eeh) Hakuna kama Yesu we (Eeh) Hakuna kama Yesu we (Eeh) Hakuna kama Yesu we (Eeh) Hakuna kama Yesu we (Eeh) Hakuna kama Yesu we (Eeh) Hakuna kama Yesu we (Eeh) Hakuna kama Yesu we (Eeh) Hakuna kama Yesu we (Eeh) Hakuna kama Yesu we (Eeh) Hakuna kama Yesu we (Eeh) Hakuna kama Yesu we (Eeh) Hakuna kama Yesu we (Eeh) Hakuna kama Yesu we (Eeh) Hakuna kama Yesu we (Eeh) Yesu (Yesu) Yesu (Yesu) Yesu (Yesu) Yesu (Yesu) Yesu (Yesu) Yesu (Yesu) Yesu (Yesu) Yesu (Yesu) Yesu (Yesu) Jesus (Jesus) Jesus (Jesus) Jesus (Jesus) Jesus (Jesus) Jesus (Jesus) Yahweh (Yahweh) Yahweh (Yahweh) Yahweh (Yahweh) Yahweh (Yahweh) Yahweh (Yahweh) Yahweh (Yahweh) Yahweh (Yahweh) Yahweh (Yahweh) Yahweh (Yahweh) Yahweh (Yahweh) Yahweh (Yahweh) Yahweh (Yahweh) Kamata kwa kichwa Kamata kwa tumbo Kamata kiunoni Kamata kwa kichwa Kamata kwa tumbo Kamata kiunoni Hakuna Kama Bwana Hakuna kama Wewe Hakuna Kama Wewe Hakuna kama Wewe Hakuna Kama Wewe Hakuna kama Wewe Hakuna Kama Wewe Hakuna kama Wewe Yahweh (Yahweh) Yahweh (Yahweh) Yahweh (Yahweh) Yahweh (Yahweh) Yahweh (Yahweh) Yahweh (Yahweh) Yahweh (Yahweh) Yahweh (Yahweh) Yahweh (Yahweh) Yahweh (Yahweh) Yahweh (Yahweh) Yahweh (Yahweh) Kamata kwa kichwa Kamata kwa tumbo Kamata kiunoni
Original Song Video
Deeper Meaning
"Nina sababu ya kukusifu wewe Yahweh" translates to "I have a reason to praise you, Yahweh" in Swahili. This song reflects a deep sense of gratitude and reverence towards God, particularly focusing on His attributes and the salvation He provides through Jesus Christ. From a biblical perspective, the lyrics echo numerous themes found in the Psalms and other parts of the Bible. Here are a few theological insights we can draw from the song: Gratitude and Worship: The song emphasizes the believer's response of gratitude and worship towards God for His goodness, faithfulness, and mighty deeds. This aligns with biblical exhortations to praise God continually and offer sacrifices of thanksgiving (Psalm 107:1; Hebrews 13:15). Faith in God's Sovereignty: The repetition of "Nina sababu ya kukusifu wewe Yahweh" reinforces the confidence and trust the believer has in God's sovereignty and providence. It acknowledges that every aspect of life, including trials and triumphs, is under God's control (Proverbs 3:5-6). Exaltation of Jesus: The mention of Jesus throughout the song exalts His unique identity and redemptive work. It reflects biblical teachings on the exclusive role of Jesus as Savior and Lord (Acts 4:12; Philippians 2:9-11). Victory in Christ: The lyrics celebrate the victory believers have in Christ over adversity and challenges. This victory is not based on human strength or circumstances but on the power of God working in and through His people (1 Corinthians 15:57; Romans 8:37). Unity in Worship: The repeated phrases and call-and-response structure of the song suggest communal worship and the unity of believers in praising God together. This reflects the biblical concept of the body of Christ functioning as one, with each member contributing to the worship of God (1 Corinthians 12:12-27). Overall, "Nina sababu ya kukusifu wewe Yahweh" is a powerful declaration of faith, gratitude, and praise rooted in biblical truth. It encourages believers to fix their eyes on God, acknowledge His sovereignty, and find strength and joy in Him despite life's challenges.
Comments
Post a Comment