Ninasababu|Mwanaume kama Yesu(Cover)|Praise Medley|Essence of Worship Lyrics
Song Title - Deeper Meaning Song Title SUBSCRIBE Nina sababu ya kukusifu wewe Yahweh Nina sababu ya kukusifu wewe Yahweh Nina sababu ya kukusifu wewe Yahweh Nina sababu ya kukusifu wewe Yahweh Nina sababu ya kukusifu wewe Yahweh Nina sababu ya kukusifu wewe Yahweh Ukuu Wako Matendo Yako Ni sababu ya kusifu wewe Bwana Matendo Yako Uaminifu Wako Ni sababu ya kusifu wewe Bwana Yale umefanya, yananishangaza Yale umetenda, ni makuu sana Nina sababu ya kukusifu wewe Yahweh Nina sababu ya kukusifu wewe Yahweh Nina sababu ya kukusifu wewe Yahweh Nina sababu ya kukusifu wewe Yahweh Humu duniani mimi nimepita Sijaona mwanaume kama Yesu Humu duniani mimi nimepita Sijaona mwanaume kama Yesu Alizaliwa kwa Taabu yeyeee walitaka kumuangamizaaa Hawakujua kuwa Yeye ni Mungu walidhani ni mtu wa kawaidaaa vita vyake Mungu nani atashindaaaa..?? hakunaaa hakunaaa Hakunaaa kweli hakunaaa aliye kama Yesu kweli hak...